4 Aprili 2013 - 19:30

Wabumge wa Korea Kaskazini katika Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo wameiomba Rusia kufikiria kutowa wafanya kazi wake katika ubalozi wake Pyongyang.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Televisheni ya BBC muda ulopita iliripoti kuwa  shirika la habari la Rusia limeeleza kwamba Wabunge wa Korea kaskazini waliomba Rusia kufikiria  kuondowa wafanyakazi wake katika ubalozi wa Pyongyang.

Televisheni hii haikueleza kiundani zaidi kunako habari hii.